Kitabu hichi kinaelezea kuhusu: ''Usimlazimishe mwanaume kubadilika''
Japokuwa maisha yanaweza kuwa ya kuvutia ukiwa kwenye mahusiano na mwanaume aliyejikita sana na mambo anayoyapenda, hii inaweza kuwa changamoto kwako. Licha ya haya, usimwambie aache anayoyapenda